Waswahili wana sema hatua moja uwazisha nyingine,ndivyo ilivyokuwa siku ya jana kwa Mtangazaji wa Radio Praise Power fm Erick ambae jana alimvisha pete mrembo wake Joyce huku maelfu ya watu wakifatilia tukio hilo lakijasiri.
Hakika kila jambo na wakati wake.Mchungaji Kiongozi wa Mikocheni B Dr. Getrude Rwakatare alisema hii ni hatua nzuri ambayo Mungu uifanya pale mtu anapo kubali kuachana na ukapela nakuamua kutafuta mwenzi wa Maisha.
Erick Brighton akiwa na Mrembo Joyce.
Erick Brighton atafunga pingu za Maisha katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni B siku ya Tarehe 27/5/2012.Mungu ibariki hatua hii ya pili kuelekea hatua ya Tatu naya mwisho.
Erick Brighton akimvisha pete ya Uchumba Mrembo Joyce.
Mchungaji kiongozi Dr. Getrude Rwakatare wa kwanza kushoto na Mchungaji Noha Likumai wa kwanza kulia wakibariki tendo hili takatifu siku ya jana.
Watu kibao wakifatilia tukio hili.

0 comments: