Wednesday, April 25, 2012

SAFARI YA BLOGGER'S KWA NABI TB JOSHUWA WARUDI SALAMA.

By Jimmy  |  5:48 PM No comments

Baada ya Ukimya ulio kuwa na Masha kwa Blogger's Rulea Sanga na Emmanuel Mabisa waliopata mwaliko kwa Nabii na Mtume Tb Joshuwa sasa watua Tanzania majira ya Saa kumi usiku katika uwanja wa ndege wa Jk.

Blogge's

Wakiwa wenye uchovu wa Safari niliweza kuongea na Emmanuel Mabisa siku ya leo nakunijuza Machache.

Blogger.Emmanuel habari za Safari Mtumishi

Mabisa.Kaka ni nzuri

Blogger.Mmeingia muda gani Dar.

Mabisa.Tumeingia jana Saa kumi usiku.

Blogger.Yapo mengi nataka kujua kutoka kwenu,Mlifanyikiwa kumuona Mtumishi wa Mungu Tb Joshuwa.

Mabisa.Kaka tulikutana nae but now naomba nipumzike Uncle ila Rulea Sanga amesha tupia mzigo wa safari katika Blog yake.

Blogger.Asante Kaka ila Ongereni sana tuli wamiss sana hasa kwenye kikao cha Christian Blogger.

Mabisa.Hata sisi tuli miss nyumbani.

Blogger.Baadae Emmanuel Mabisa.

Mabisa.Amina Kaka.

Kwa Mengi zaidi juu ya Safari ya Blogger's hawa ingia www.rumafricar.blogspot.com.
Rulea Sanga aikwa katika Korido ya Ethiopia, tayari kwa safari ya Nigeria
Emmanuel Mabisa akielekea lkatika basi la abiria Ethiopia Airport,kwa safari ya Nigeria kwa Tb Joshuwa.


Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP