Katika siku nilizokuwa na Furaha kubwa ni leo.Hakika nilikuwa naisubiri kwa hamu kubwa sana,kumuona Sayuni,Injili ya Kweli,Agapelifechurch,Gospelstandrbase na wengineo wengi tuliokuwa tunakutana katika Event mbalimbali.
Nikiwa mwenye furaha ya kumshukuru Mungu kwa kutukutanisha pamoja Blogger 's kama hatua ya kwanza yakufahamiana nakuweza kupeana mawili matatu kutokana nakazi yetu ya kufikisha habari kwa jamii nakujenga mwili wa Kristo.
0 comments: