Tuesday, April 10, 2012

ATUTA MUONA TENA STEVEN KANUMBA.AMELALA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE.

By Jimmy  |  4:20 PM No comments

Kwamujibu wa Madakitari Steven Kanumba amefariki dunia kutokana na tatizo la mtikisiko wa ubongo linalojulikana kitalaamu kama Brain Concussion, taarifa za kitabibu zimeeleza.
Kwaheri Steven Kanumba.
Kilichomuua Kanumba ni mtikisiko wa ubongo, ambao unatokea katika sehemu ya nyuma ya ubongo {CEREBRUM}huua kwa haraka” alisema daktari mmoja wapo na kuongeza kuwa mtikisiko wa ubongo wa nyuma, husababisha matatizo ya mfumo wa upumuaji na hilo limeonekana katika mwili wake.


Daktari mwingine aliyeshiriki katika uchunguzi huo ambaye pia aliomba jina lake lisitajwe alisema ubongo wa mwigizaji huyo ulikuwa umevimba na kushuka karibu na uti wa mgongo na hivyo kuathiri mfumo wa upumuaji.

Alisema sehemu ya maini na majimaji ya machoni ya marehemu, vimepelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali ili kubaini endapo kuna sumu au kitu kingine katika mwili huo.








Jeneza lenye mwili wa marehemu Steven Kanumba likiingizwa katika nyumba atakayopumzika milele.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP