Saturday, March 24, 2012

CHRISTIAN DIRECTORY YAINUA KIWANGO CHA WACHUNGAJI.

By Jimmy  |  10:13 AM No comments

Siku ya Alhamisi na Ijumaa ya Tare 22 na 23 maeneo ya Sinza Christian Center palikuwa na Semina ya Wachungaji ilio andaliwa na Christian Directory Tanzania chini ya Mwl-Joshua Mhingo na Noel Tenga.

Semina hii ya Wachungaji ilikuwa na lengo la kuwaongezea Wachungaji Uwezo wa Kiuchumi,Kiwongozi na Kiushauri.
Florian katunzi akifundisha Somo namna ya kukuza karama ulizonazo Mtumishi.

Semina hii iliokuwa nzuri nakuudhuriwa nawachungaji wapatao 200 nimwanzo mzuri wa Christian Directory kwani imeonyesha mafanikio makubwa tofauti na Mwaka 2011 ambapo Christian Directory walizindua semina hii iliokuwa ya kwanza nakuudhuriwa na Wachungaji 120.
Waratibu wa Semina Kushoto Mwl Joshua mhingo na Mr Noel Tenga.

Kwa Mujibu wa Mr Noel Tenga alieongea na Blog hii amenijuza Christian Directory ikokwajili yakujenga mwili wa Kristo nakuinua karama mbalimbali za watumishi wa Mungu.

July mwaka huu watakuwa na Episode ya Tatu ya Semina hii nakufatia Semina ya Vijana yenye lengo lakumjenga kijana kuishi Maisha ya Utakatifu uku akingojea unyakuo wa Kristo.
Apostle Nyari Jehoshaphat kutoka Kenya mwenye Nguo Nyeupe akifundisha Somo la Uongozi katika Semina hiyo.Pembeni ni mkalimani Rev John Lengai.
Washiriki wa Semina wakipokea vyeti vya ushiriki wao katika Semina hiyo.
Noel Tenga










Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP