Monday, March 19, 2012

AJALI HAINA KINGA,ULEVI NOMAA......

By Jimmy  |  12:04 AM No comments

Siku ya jana nikiwa natoka Job iko kona kali kama unatokea Mwenge kuelekea Mikocheni.Nikakutana na mwanamke alie pata ajali ya Gari yake baada ya kuwa Bwiii na Pombe.
Hapa vijana wakijaribu kulitoa gari ya RAV 4 yenye no T227AKL lililokuwa limetumbukia kwenye mtaro wa kona ya kuelekea mikocheni jijini Dar es Salaam lilipokuwa limegongana na gari nyingine.

Waliamua kuliachia na kuzama kabisa japo juhudi za kuendelea kulinasua kutoka mtaroni ziliandelea. Pia ni vyema wananchi mkaangalia watu makini wa kunasua gari pindi linapopata tatizo maana wengine huongeza matatizo zaidi.

Gari hiyo aina ya RAV 4 ya kijani ndiyo iliyogongwa na kufanya nyingine kutumbukia mtaroni.
Majadiliano ya hapa na pale yaliendelea kati ya mgongwa na aliyemgonga (huyu mwana mama aliyekunja sura) kiulweli mama huyo alikuwa amelewa chakali kiasi cha kumfanya kila mara aombe msamaha jambo ambalo lilimsikitisha askari na asijue la kufanya. Ni vyema madereva mkawa makini wakati wa weekendi. Japo kuna msemo unaosema, "Don't drink and Drive" hata kama bar wameweka parking.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP