Sunday, March 18, 2012

HONGERA MR & MRS TINA MOURICE KESSY.

By Jimmy  |  7:44 PM No comments

Nikiwa siku ya jana Ofisini katika Kipindi cha Faraja Time usiku mara nikasikia Simu yangu ikiita.

Uncle-Haloo Tina

Tina-Uncle Bwana yesu asifiwe

Uncle-Amina

Tina -Samahani Uncle,Karibu kwenye Kashughuli ka Mwanagu Klinton Kesho pale kwangu.Mwanangu anabarikiwa tafadhari usikose

Uncle-Mambo ya Ubweche Safiiii.

Tina-Sasa usisahau kifaa cha kazi.

Uncle-Atiii kifa cha kazi.

Tina-Ndiioo Camer

Uncle-Aaaa kuna shida mpe hai Mumeo

Tina-Zimefika Faraja Time njema.

Uncle-Amina Barikiwa.
Hongera Klinton Maurice Kessy,Karibu katika Dunia yako chaguo lako.

Tina Maurice ni Mtangazaji wa Praise Power ambae Mungu amembariki watoto wa wili Carrine na Klinton,aliee zaliwa tare 28-1-2012.Siku ya leo amebarikiwa katika Kanisa la E.A.G.T City Center majira ya Mchana.


Mrs Maurice na Mr Maurice Kessy wakiwa na Watoto wao Carrine na Klinton.
Dr.Anna Allister akiwa na Carrine.
Listar na Mchungani Sebastian Kimario.
Mchungaji Ebeneza Valentino Massawe.
Wanafamilia wakituandalia Mahakuli.
Mama Mzaha Chema akiwa bize na Mapocho pocho ya shuhuli.
Mtangazaji wa Upendo Radio Allister Albano
Mwinjilisti Deo kushoto na Mchungaji Kimario wakipata Chakula.
Nami sikuwa nyuma kuakikisha Tumbo lina Cheka.
Ongera Listar kwa uwamuzi wakula Matunda uwo mwili unaitaji GM.
Karibu tule.
Dada wa Klinton Carrine.

Blogger Uncle Jimmy anawatakia Maisha marefu na Baraka tele na uzima kwa familia yenu.


















Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP