WATANGAZAJI 15 WALIO NIVUTIA KABLA YA MIMI KUWA MTANGAZAJI.
Kwa kiasi kikubwa mimi nilikuwa mfatiliaji sana wa vipindi mbalimbali vya radio na tv toka nikiwa mdogo.Ukiacha watangazaji wale tuliokuwa tukiwasikia wakati wadogo kabisa kama Deborah Mwenda na mama na mwana.Kuna watangazaji ambao walinifanya nipende kusikiliza radio au kuangalia tv wakati nikiwa sekondari mpaka nilipokuja kuwa na mimi mtangazaji.Nawakumbuka sana wafuatao....











0 comments: