GOSPEL TEAM
Muunganiko wa waimbaji wasikilizaji pamoja na watangazaji wa Radio umeunda Team moja inayo julikana kwajina la Gospel Team.Team hii itakuwa na Mechi siku ya J/tano itakapo kabiliana na Zizzou Fashion katika viwanja vya Kenton Sinza Africar sana.
0 comments: