UKIIPATA NAFASI ITUMIE.
Uncle Jimmy akiwa na Benjamin Dube mwimbaji wa mziki wa injili kutoka South Africar alipokuja kwenye Event ya R I O T,Mwaka jana nakupiga Bonge moja la Show katika ukumbi wa Mlimani City.
Rafiki yangu mkubwa Stiven Kanumba enziizo alipo tembelea ofisi yangu Blue Production.
0 comments: