ZIZZOU FASHION TEAM YAIBUKA KIDEDEA KWA GOSPEL TEAM.
Sikuya jana kulikuwa na Mtanange wa Mpira kati ya Zizzou Fashion na Gospel Team,ambapo Zizzou Fashion iliwafunga Gospel Team kwa mabao Matano kwa bila.Mechi hii iliokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa pande zote mbili.
0 comments: