SAFARI YA UNCLE JIMMY KATIKA MATUKIO YA MOVIE,SMART WIFE.
Ikiwa niwiki imesha toweka toka nimeanza Movie hii,kiiukweli kuna vitu viwili vitatu nimejifunza kwa Swahiba wangu Ray hasa katika maandalizi yakufanya Movie.Ukitaka kufanyikiwa katika kazi hii,nimuhimu kupata vifaa vya kisasa ambavyo vitakusaidia kuraisisha kazi yako nakupata Picha nzuri
0 comments: