EMMANUEL MYAMBA AZINDUA RASMI CHUO CHAKE CHA FILAMU(TANZANIA FILM TRAINING CENTER,,TFTC)
Kanumba akisisitiza jambo kwa wandishi wa vyombo vya habari kama yeye alianzia ktk vikundi kujifunza basi na wasanii wengine waje hapa kupata elimu juu ya uigizaji na si kuingia tu ktk film industry wakati awajui lolote.
Wageni mbalimbali wakiwa ndani Meza kuu,kutoka kushoto ni Baucha,Myamba,mwakilishi wa katibu mkuu Basata,na Makubi ambaye ni mratibu wa chuo hicho.
Ukisomwa ujumbe maalum wa mgeni rasmi toka Basata.
The great kama mmoja wa walezi na mshauri wa chuo hicho alipewa nafasi ya kusema machache kwa wanafunzi na tasnia kwa ujumla.
Wanafunzi wakiwa na uniform zao safi kabisa lakini pia humu ndio darasa lao,wanasoma katika air condition,
Bosi wa chuo Pastor Myamba akikabithiwa kibali toka Basata kama ishara ya kwamba anatambulika rasmi na mamlaka husika serikalini.
Wosia toka Basata...msipende kukatishana tamaa na kuharibiana,Basata ipo kwa ajili yenu na ndio walezi na washauri wakuu wenu.
Cheti cha usajili..
Kibali...
Maneno ya Kanumba kwa wanafunzi yalikuwa;SANAA BILA ELIMU NI SANAA ILIYODUMAA,SANAA YENYE ELIMU NI SANAA ENDELEVU,VIYVO HIVYO KIPAJI PASIPO ELIMU NI GIZA TOTORO,KIPAJI CHENYE ELIMU NI NURU ING'AAYO.NDIO MAANA HATA BIBLIA INASEMA MSHIKENI SANA ELIMU MSIACHE AENDE ZAKE,LAKINI PIA ELIMU PASIPO KIPAJI NI KAZI BURE,BORA USOMEE KITU AMBACHO NI KARAMA YAKO,mfano kama una kipaji cha uchoraji basi somea uchoraji na si uigizaji usijepoteza mda wako bure,ukiviweza vyote hivi basi zingatia nidhamu..wanafunzi walipigia makofi bila shaka walimuelewa.
0 comments: