Wednesday, January 4, 2012

SAMAHANI RAFIKI

By Jimmy  |  1:40 AM No comments

Nikweli nimekuwa kimya kwa muda wa Miezi kadha na wengi mmenitumia Comments kulalamika Uncle vp kwa ukimya uliojitokeza.
Ukweli kwamba kwa wote mliotuma Comments kupitia my Blog yangu,Face Book,Email or My Phone juu ya ukimya ambao kilaulipo ingia na kukuta hamna kitu ulikuwa ukikwazika.
Siwezi sema chochote juu ya ukimya wangu sababu ni nje kidogo ya uwezo lakini aikuwa sababu ya kukosa habari au matukio,Lahasha mana kazini ninako fanya kazi [RADIO]pamoja na maisha yanayo nizunguka nisehemu tosha ya kupata habari na matukio mbalimbali.Ninacho weza sema ni mambo ya majukumu ya kimaisha nakauzembe kidogo kutokana na kutingwa na vitu vingine.
Kwakusema hayo niwaombe msamaha or nikuombe radhi kwakuto kupendezwa na hali hii
Mimi ni binadamu kama wewe kunawakati nazidiwa na majukumu kama azidiwavyo mtu mwingine.Nawapenda wote mnaonipenda nakunichukia sababu naamini wote mna sababu za kufanya hivyo.
Nafahamu wewe ni mpenzi wa blog yangu nandio mana uwachi kuitupia macho kujua nini kinaendelea katika upande wa Gosple na Maisha kiujumla.
Tushikane kwa umoja mana kila ukionacho kikubwa leo kilianza kidogo jana.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP