Nilipo fika Ofisini leo nilikuwa busy kupita maelezo,Ndipo Erick Marting alipita na Camer yake ya Udaku nakunipiga picha nikiwa najianda kwenda katika kipindi.Kiukweli kabisa kazi ya kukupa wewe habari siokazi ndogo.
Nikutakie mapumziko mema usisahau J/pili kwenda kanisani.One Love
0 comments: