Friday, September 9, 2011

Mtoto wa Mtangazaji wa Praise Power Radio,Tina Mtua wake Moris atimiza Mwaka Moja.

By Jimmy  |  10:59 PM No comments

Majira ya Samoja usiku nilipo toka Job siku ya jana nilikwenda kwa Partner wangu Tina kufurai na Kusherekea kuzaliwa kwa Mtoto wake Careen.Kilicho nifuraisha zaidi nikuona wasikilizaji wetu na wapigaji wa simu kupitia Radio ya Faraja ya watu Praise Power walikuwepo.Japo Ngereja alitufanya mbaya katika umeme lakini Part ilikuwa nzuri kweli kweli.

Mama mzaa Chema Tina Moris akiwa na mwanae Careen.
Abeli Daudi akiwa na Careen.
Tina Mtua akiwa na Recho.Recho ni Mpigaji mkubwa wa simu katika Power Drive.
Recho.
Mama akimlisha Careen Keki.
Uncle Jimmy akilishwa Keki na Tina Moris.
Mdau mkubwa wa Blog yangu naya Swahiba wangu Sam.Sister Listar akila Keki.
Mwimbaji wa Mziki wa Injili Chris,akipata keki.
Recho akila Keki.
Angela Ully alikuwepo kumpongeza Mtoto Careen.
Hawa niwadau wakubwa wa Praise Power Radio katika kutuma Msg na Kupiga Simu.Kushoto ni Maxmillian Francis Miho.a.k.a Punda wa Yesu.
Upande wa Kushoto Recho,Tina,Angela,pamoja na Listar akiwa na Careen katika pozi lakumbu kumbu ya Picha.
Misosi ilikuwa ya Kutosha.













Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP