Mpenzi msomaji kupitia Kipindi ninacho fanya Radio Mimi na Partner wangu Tina Mtua wake Morisi,Kila siku Saa 16:00 adi Saa 19:00 usiku,Siku ya Ijuma tunakuwa na {NANI NI NANI}katika Power Drive.Ushindanisha waimbaji wa wili wanaofanya Mziki unao shabiana.Na kupitia wewe msikilizaji wetu upiga kura yako nakusema nani mkali.Namba ya kura ni {0782-992123}.
Kupitia Blog yangu utakuwa ukipata matokeo ya mshindi pale tunapo maliza kuesabu matokeo ya Kura ulizo tuma kupitia namba iyo apo juu.Leo katika Power Drive ya {Nani ni Nani} ni John Lisu na John Komanya.
Sifa ya Lisu siku zote utumia Gita katika kusifu na Kuabudu.Nikijana alie owa nampaka sasa ana Albamu Mbili.
John Lisu.
Huyu ndie John Komanya.
John komanya ni Pastor wa Kanisa la The New Cathedral of Joy.Lenye makao makuu Nchini Marekni.
Waimbaji wote wawili hawa siku ya leo utapata kusikia Historia zao kwakirefu kupitia 99;2 fm Praise Power Radio.
Kura yako nimuimu sana kwetu.Tuambie nani mkali kati ya John Lisu na John Komanya.Nambari ya kura ni 0782-992123.Au waweza kutupigia kwa namba ya Studio{0658-992123} inapo fika Saa 17:00 jioni nakutuambia unataka nani aibuke kidedea.
0 comments: