Tarehe 8/8/2011 utambulika kama sikuku ya Nane nane ambapo Makanisa hapa Tanzania ujipa hofu,Lakini hii haikuwa kwa Kanisa la Living Water Makuti kawe.Apostle Onesimo Ndegi aliandaa Restoration Bash ndani ya Ndege Beach ili kuwapa nafasi kama washirika na watu mbalimbali kuwa na nafasi ya Michezo kama sehemu ya Maisha yetu.




0 comments: