Siku ya jana nilikwenda kumtembelea rafiki yangu GRM-Makupa ambae kwa Muda mrefu alikuwa masomoni Ulaya.Kwa sasa Makupa yopo in Town Dar-es-salaam akiwa amefungua Kampuni Kubwa naya kisasa yenye vifaa vyote vinavyo husiana na maswala ya upigaji Picha/Video Production.Kiukweli kabisa nina Ndoto kama za GRM siku moja kuwa na vyombo kama alivyo Barikiwa.














Kwa Mawasiliano wanapatikana Samnujoma Road,Sarvery Mlala kuwa Adj.Mlimani city
Tel:+255-658 000 666
Tel:255-786 000 666
0 comments: