Saturday, August 13, 2011

BIG EVENT YA RAISING THE STANDARD NDANI YA MLIMANICITY ni Tare 20/8/2011 & 21/8/2011

By Jimmy  |  12:55 PM No comments

Ni meona Event Mbalimbali lakini hii ni Babu kubwa.Ni ndani ya MLIMANI CITY Tare 20/8/2011 adi Tare 21/8/2011.Kwa mujibu wa Mratibu wa Event hii Ndugu Isaac Malonga alinijuza kwamba.

Watu wengi usema Walokole ni washamba lakini hii itabadili fikra finyu,came and see watu watakavyo pendeza na kuvutia.

Sio ilotu,wasani mbalimbali wa mziki wa injili kutoka nje ya nchi yetu ya Tanzania watafanya muziki live ndani ya Mlimani city.

Pia kila mwanamuziki atakae panda jukwaani atakuwa na dakika 10 za Parfomance.

Vilevile wanamuziki wa Tanzania watapewa nafasi yakujifunza nini wenzao wa nchi za Ulaya wanafanya katika mziki wa injili.

Lengo kubwa la Rising the standard ni kumuinua Yesu kristo katika kizazi hiki cha sasa.

Siku ya Show Tare 20/8/2011 Tupia Pamba za ukweli,but Tare 21/8/2011 Tupia kitu cha Tshirt na Jeans


Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP