Showing posts with label James Temu news 10:10 Am. Show all posts
Showing posts with label James Temu news 10:10 Am. Show all posts

Wednesday, April 30, 2014

KWA MARA YA KWANZA TAZAMA VIDEO MPYA YA BINTI AFRIKA MIRIAM LUKINDO (ROHO SHUKA)

Kiwanda cha utengenezaji wa video kilichopo USA Kingdom media kimeachia official video ya Miriam Lukindo 'Roho Shuka' itazame hapa kwa hisani ya Uncle Jimmy.

Thursday, April 17, 2014

MAKUTANO YA TAI na JAMES KALEKWA


PASAKA WA PILI NI UREJESHO WA KUSUDI KUU LA KWANZA LA UFALME WA MUNGU.


Utangulizi

“Sikukuu” ya Pasaka inatokana (asili yake) na maandiko ya neno la Mungu yaani Biblia (Rejea kitabu cha Kutoka 12:1-51). Humo ndimo unapatikana mwanzo wa habari ya Pasaka na namna inavyopaswa kuwa. Hata hivyo mtazamo wa watu wengi na dunia kwa ujumla juu ya Pasaka umebadilika sana. Wengi wameichukulia kuwa kama siku, wengine huitambua kama siku na hata baddhi ya watu huiona kama maadhimisho tu na hivyo kuifananisha na siku, Sikukuu au maadhimisho mengine ya kawaida kabisa. Jambo la msingi ninalotamani sana ujifunze katika safu hii ya makutano ya tai ni kwamba Pasaka ni sadaka wala si siku/Sikukuu/maadhimisho. Jambo jingine ni kwamba, Pasaka kama sadaka haikutolewa kwa bahati mbaya bali kulikuwa na kusudi la kutolewa kwa dhabihu hiyo
Ufalme wa Mungu ni kusudi kuu la uumbaji wa Mungu tangu milele. Mafundisho juu ya ufalme wa Mungu yamekuwa yakitolewa kwa uchache sana ndani ya kanisa la zama zetu. Hivyo katika mafundisho haya nitaonyesha jinsi gani Yesu Kristo ambaye ndiye Pasaka wa pili (1Wakorintho 5:7-8) alikufa ili kurejesha kusudi kuu la awali la Mungu kwa habari ya

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP