Wednesday, November 12, 2014

VIDEO:MPIGA SOLO WA KUNDI LA GWT EMMANUEL GRIPA AHOFIWA MWANA MAZINGAOMBWE.

By Jimmy  |  7:18 AM No comments

Kijana Emmanuel Gripa a.k.a Ima Solo kutoka kundi la GWT anahofiwa kuwa na mchezo wa mazing'aombwo kutokana na video zake mbili alizotupia kwenye account yake katika mtandao wa Instagram na kuandika....
Tazama video hizo mbili hapo chini mdau wangu....... VIDEO NO 1
VIDEO NO 2
Kufatia matukio ya video hizo mbili Unclejimmytemu.com inamtafuta Emmanuel Gripa hatujuze ni sanaa gani anatumia katika kutufunga viini macho vyetu
.



Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP