Wednesday, November 12, 2014

KANJII MBUGUA ATUMIA 16KILOMETERS ZA TANZANIA KUFANYA VIDEO YAKE NA DIRECTOR J BLESSING.

By Jimmy  |  8:45 AM No comments

Mwana muziki Kanjii Mbugua kutoka Kenya sio jina geni kwakua amejipatia umaarufu mkubwa Kenya baada ya kuibuliwa na kipindi cha Gospel nchini Kenya kijulikanacho RAUKA.Mnamo mwaka huu mwezi wa 5 kupitia Chomoza ya Clouds TV tuliweza kufanya mahojiano na Kanjii ambaye alitujuza mwishoni mwa mwaka
huu anategemea kufanya shoting ya wimbo wake #AKONAMI*.....kupitia page yake katika mtandao wa facebook ametupia picha akiwa location 16KMs from the Tanzania border.
Video ya wimbo huo inafanywa na super video director J blessing ambaye siku za usoni alikua nchini Marekani baada ya kumaliza masomo yake ya Cinematography.



Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP