Nicole ni miongoni mwa waimbaji wa kubwa walio wahi kufika Tanzania tarehe 11/8/2012 akiwa na Don Moen na kufanya bonge moja la event iliyoweka historia kubwa kwenye nchi yetu.Hii ni kumbukumbu ya Star wakubwa ukiacha wengine walio wahi kufika.Kwa hisani ya Unclejimmytemu.com enjoy na Live ya Nicole ikitokea kwenye viwanja vya Jangwani Agosti 11/2012.
0 comments: