Mtandao wa Instagram unazidi kupanuka na kukua kadili siku zinavyo kwenda....kama utakua mfatiliaji wa Unclejimmytemu.com nimekua nikikuleta mara kwa mara list ya Star mbalimbali wa Gospel wanaojiunga na Instagram......Mamaa Catherine Kyambiki
ni muimbaji mkongwe katika tasnia hii ya muziki wa injili Tanzania na kwamara ya kwanza unaweza kumfolo kwenye mtandao huo kwa jina (kyambiki) Zifatazo ni picha alizotupia katika account yake mpya.Enjoy!!








0 comments: