Anaitwa Philip Rupia kijana mwenye huwezo wa kucheza na sauti,ukiacha tungo zake nzuri zinazo mpa air time nzuri kwenye vituo vya radio Praise Power,Wapo Radio,Upendo Radio na radio zingine.Ni kijana mwenye miaka 25 akisikika kila kona ya radio za Christian na wimbo wake WAZO LA MUNGU.
Record ya wimbo wake amefanya na Supar Produz
PG na kwa sasa anashikilia albam yake mkononi ambayo soon inategemewa kuwepo mtaani.
PG na kwa sasa anashikilia albam yake mkononi ambayo soon inategemewa kuwepo mtaani.
Nilimuuliza swali mojo...why unapenda muziki wa staili ya Raggae.Jibu lilikua hili (Napenda mziki wa raggae kwa sababu ni furaha yangu ya moyo kuimba raggae)Kwa hisani ya Unclejimmytemu.com enjoy wekeend na.....Ni wazo La Mungu hapo chini.
0 comments: