Good news kwa wewe shabiki wa Angel Benard soon video yake itakua officially kwenye vituo vikubwa vya TV duniani kama Channel O,MTV and TRACE......Kwa sasa Need You To Reign audio is now available in more than 300 medias all over the world.Hii ni nafasi nzuri kwa muimbaji wetu kupenya na kuleta mabadiliko tunayo yasubiri kwa muda mrefu.Toa support yako mdau wangu ili muziki wetu ulete manufaa kwa waimbaji wetu na kuitangaza nchi yetu......Tazama video hiyo hapo chini
kwa hisani ya Unclejimmytemu.com.Enjoy!!
the video is great!
ReplyDelete