Saturday, October 18, 2014

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI JESSICA HONORE BM AJIFUNGUA MTOTO,PICHA 2 ZIPO HAPA.

By Jimmy  |  12:38 PM No comments

 Mke wa mtangazaji wa praise power radio na channel Ten, ambaye pia ni mwimbaji wa nyimbo za injili JESSICA HONORE BM..Leo majira ya saa nane alfajiri katika
hospital ya Maria Stopes Mwenge amejifunguo mtoto wa kike ambaye wamempatia jina Praise.Jessica magupa ni miongoni mwa waimbaji maarufu Tanzania ambae katika rika la vijana wa mziki wa injili anakuwa ni mwimbaji wa Tatu kupata mtoto.Unclejimmytemu.com inatoa hongera kwa familia ya Bonny na mkewe, Mama na mtoto wote wana afya njema.

Praise katika picha dakika chache baada ya kuletwa ulimwenguni.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP