John Lisu na Mkewe Nelly pamoja na star kutoka Kenya Mercylinah wapo kwenye kusherekea kukua kwa watoto wao....Mama mapacha wa tatu Nelly Lisu anamshukuru Mungu kwa watoto wake 3 kufikisha miezi 8 tangu kuzaliwa kwao na Mercylinah anamshukuru Mungu kwa miezi 10 ya mtoto wake.Unclejimmytemu.com inawatakia maisha marefu katika kuwatunza watoto wenu.Zifatazo ni picha nne za Mercylinah akiwa na mumewe pamoja na mtoto wao kipenzi.
Hapo chini ni picha za watoto wa John Lisu na mkewe Nelly wakiwa na miezi 8 mdau wangu.
0 comments: