Pitson amekua muimbaji maarufu sana nchini Kenya
na record yake ya Lingala Ya Yesu,ni record iliyomtambulisha vizuri
kwenye tasnia ya muziki wa injili nchini Kenya na kumfanya kupata show
nyingi pamoja na kutwa tuzo nyingi ikiwemo ya Song of the Year at Groove
Awards 2014 kupitia wimbo huo...Baada ya kutamba na Lingala Ya Yesu kwa
muda mrefu kidogo now Pitson has released brand new
video KILELE ikiwa imetazamwa na watu 114,kwa hisani ya Unclejimmytemu.com tazama video hiyo hapo chini mdau wangu.
video KILELE ikiwa imetazamwa na watu 114,kwa hisani ya Unclejimmytemu.com tazama video hiyo hapo chini mdau wangu.

Video Kilele
0 comments: