Tuesday, September 30, 2014

KIMEELEWEKA!

By Jimmy  |  1:09 PM 1 comment

  Mtangazaji wa Kipindi cha Chomoza kinachorushwa na Clouds Tv, James Temu siku ya Jumamosi ya Tarehe 27 Septemba nimefunga pingu za maisha na mwanadada Sia Kimaro katika Kanisa la KKKT Kijitonyama.

Mara baada ya harusi kulifanyika tafrija katika Ukumbi wa Lulu, Sinza Mapambano.
Tunamuomba Mungu maisha mema pamoja.
Nikimlisha mke wangu chakula.
Katika harakati za kupata chakula na kusumbuliwa na paparazi.

Wife, Sia akinipa michakato kidogo wakati wa chakula.
Mke wangu kipenzi, Sia akinilisha chakula. 
Tukiwa tumeweka pozi kidogo katikati ya sherehe ya harusi yetu.
Nikimpeti my wife kwa chakula.
Tukibadilishana mawazo mawili matatu na waalikwa.  

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

1 comment:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP