Live Recording hiyo japokuwa ilichelewa kuanza kutokana na
hitilafu za kiteknohama lakini lilikuwa na muonekano wa International
Standards.
Muimbaji akiimba kwa hisia kutoka rohoni.
Ibada takatifu ya kiroho ikiendelea.
Sarah Shilla akiimba katika roho na kweli.
Muimbaji Sarah Shilla akiimba kwa hisia.
Music director, Samuel Yona akiwa kazini
0 comments: