Hii ni safari ya Solomoni Mukubwa
Denmark ambapo alikwenda kutumika kwanjia ya uimbaji kwa muda mfupi na kisha kurudi
Kenya akijiaanda na utengenezaji wa Audio ya albam yake mpya jina kapuni ().
Solomoni Mukubwa alipata shavu
la
safari hiyo chini ya usimamizi wa Director Jay ambaye alifanya recording ya
event hiyo na soon mdau wangu utapata kuiyona kupitia unclejimmytemu.com.Tazama
picha chache akiwa Denmark.
President Safari Lukeka kushoto , Solomon Mukubwa na
Director wa VAD JAY
Solomon akiwa na Muigizaji Claurice Safi kushoto....
Kitu Pozi mdau wangu
Solomoni Mukubwa akiwa kwenye ibada Denmark





0 comments: