Friday, August 29, 2014

UPENDO NKONE KUFANYA KWELI MAREKANI.PICHA NNE BAADA YA KUTUA COLUMBUS,OHIO

By Jimmy  |  11:27 AM No comments

 
Upendo Nkone awasili jijini Columbus, Ohio USA kwa ajili ya tamasha la the International Gospel Music Festival ambalo hufanyika kila mwaka chini ya waandalizi Pastor Donis Nkone ba Nnunu Nkone wa
kanisa la All Nations Breakthrough Church litakalofanyika wikiendi hii.
 Unclejimmytemu.com ikizungumza na Pastor Donis Nkone amesema kua ni tamasha la aina yake hivyo kila ndugu kutoka kona yote ya jiji la Columbus anakaribishwa,na leo jioni tamasha litaanza rasmi saa 12:00 jioni.Wote mnakaribishwa.
 Kwa huduma za malazi ya Hotel taarifa kamili ziko hapo chini...

Hotel Information

Here is the name, Phone and Address  for those looking for a Hotel when you come to Columbus for the C O N C E R T: Our special rate for the Concert is $69.00 including BUFFET BREAKFAST:
THE RAMADA PLAZA HOTEL & CONFERENCE CENTER
4900 Sinclair Road,
Columbus Ohio. 43229.
PHONE: (614) 846-0300
Akipokelewa na Mama Mchungaji Donis Nkone
Mamaa na kati ya Kimara ndani ya jiji la Columbus USA.



Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP