Muimbaji wa Gospel Edson Mwasabite anayetamba na wimbo wake "NI KWANEMA" yupo kwenye mkakati wa kutengeneza video nyingine ya wimbo huo kutokana na video ya kwanza kutokua na ubora mzuri.Siku ya jana nikiwa na Mwasabwite maeneo ya Kijitonyama aliweza kunijuza juu ya utengenezaji wa video
hiyo NI KWANEMA itakayo fanyika maeneo ya dar es salaam na vitongoji vyake.Edson ameamua kuurudia wimbo huo ili kukizi mahitaji ya wapenzi wake.
Hivyo basi anaitaji mode's wenye muonekano mzuri na kijana yoyote mwenye kipaji cha uchezaji unayependa kutokea kwenye video hiyo kuwasiliana naye kwa maelezo hayo hapo chini.
Bwana
yesu apewe sifa wapendwa, watumishi wa mungu, wadau wangu, mnao niombea
na kuniunga mkono kwa namna yoyote ile Mungu awabariki
sana............. Mungu akipenda nataka kushuti albam yangu ya pili na
ntaushuti upya wimbo wa ni kwa neema na rehema nata kupata watu
wanao weza kucheza vzuri na wanao weza kuigiza kwa kujitolea na kama
wewe huwezi kucheza kuigiza ukiguswa kufanya chochote kwa
ajili ya zoezi hili hasa kifedha utakua umenisaidia sana kwani kila
kitu kinaitaji pesa, na baada ya zoezi hili kwisha ntafanya uzinduzi
utakao ghalim zaidi ya milioni 10 naomba kuniombea kwani kwa Mungu
yoote yanawezekana sina wafadhili, kwa wale ambao wako tayali kucheza
kuigiza tuwasiliane kwa namba hii 0655699799 kwa wale tu wanao kaa dar
na walio tayali kujitolea. pia unaweza kunionya kunishauli
kuniuliza chochote kinacho nihusu mm kwa uhakika zaidi maana sisi tu
viungo vya kristo tunategemeana hakuna anae jitosheleza asante na Mungu
awabariki

0 comments: