Pastor na Mtangazaji wa Clouds Fm Harris Kapiga yuko nchini marekani ikiwa ni siku ya 3 sasa tangu afike Marekani....kupitia account ya Pastor Mitimingi facebook amepost picha tatu akiwa na Harris Kapiga Chicago.
Pastor Harris yupo nchini Marekani kwa zihara ya wiki mbili.
Pastor Mitimingi akiwa na Harris Kapiga






0 comments: