Napenda kukupatia taarifa mpya mdau wangu na mkazi wa Mbeya...Kwaya ya UINJILISTI FOREST imefungua "website" mpya itakayo kuwezesha wewe mpenzi na mfatiliaji wa karibu na UINJILISTI kujipatia taarifa
na habari nyingi kutoka kwao...kwa picha na habari zaidi gonga hapa www.http://uinjilistiforest.org/
Karibu Uinjilisti
Forest
Sisi
ni kwaya ya Uinjilisti Forest Mbeya. Karibu ushirikiane nasi katika kutangaza
neno la Mungu kwa njia ya Uimbaji, pia kufundishana neno la Mungu na kufanya
uinjilisti ndani na nje ya kwaya
Kusudi
kubwa la kwaya ni kuhubiri Neno la Mungu na kumtangaza
Kristo kwa njia ya uimbaji ili dunia yote imuabudu Mungu wa kweli
tunayemuabudu




0 comments: