Isaiah Katumwa ni muimbaji mkubwa barani Afrika anayesifika kwa umaridadi mkubwa wa kupiga chombo cha muziki "SAXOPHONE"....Mara ya mwisho nilikutana
na Isaiah kwenye live recording ya bibie Christina Shusho iliyofanyika Upanga Ccc akiwa ametokea Uganda.Zipo nyimbo nyingi alizofanya na SAXOPHONE zikiwemo tenzi za rohoni pamoja na mapambio mbalimbali maarufu.

Mdau wangu wa karibu yapo mambo mengi ninayoweza kueleza kwa Isaiah....ila kwa leo nisikuchoshe kwa maneno mengi,tazama video yake mpya aliyoitoa tarehe
2 Jul, 2014
2 Jul, 2014

0 comments: