Sikupenda kuweka video hii aliyo hojiwa na Global TV ila nimekua nikipata maswali mengi na kukosa jibu kwenu wadau....hili sio jambo la ushabiki kwa sisi
wa kristo wala sioni ufahari wowote katika maisha ya familia hii.Wamekua marafiki zangu kwa miaka kadha na maombi yangu jambo hili likamalizike salama....hakuna mtu yoyote anayejua kilicho nyuma yao bali ni Mungu mwenyewe.Mtazame Flora Mbasha hapo chini kwa hisani kubwa ya unclejimmytemu.com
Chazo cha habari Global Publishers
0 comments: