Michelle williams,Destiny's
child..wakishirikiana na Beyonce na Kelly rowland wameachia
nyimbo mpya
ya kikristo inayoitwa "say yes" sema ndio...huo wimbo say
yes umetengenezwa na producer aitwaye Harmony Samuels,na unatoa ujumbe
wenye nguvu sana kuhusu nguvu ya Yesu Kristo...Chorus ya nyimbo hiyo inasema YESU AKISEMA NDIO HAKUNA WA KUSEMA HAPANA
0 comments: