Kolabo Ben Pol na Paul Clement
Ben Pol akienda sawa na Paul Clement.
Video ya Ben Pol alipokua akiimba wimbo wa Paul Clement baada ya kuitwa mbele...Ben Pol ni mwalimu wa Paul Clement.Aliusika kwa nafasi kubwa kumtengeneza Paul katika uimbaji.Tazama video hiyo hapo chini mdau wangu.
Picha zingine na matukio yatafata mdau wangu.
0 comments: