Mc Joshua Makondeko akienda sawa
Chama cha muziki wa injili Tanzania walianda tamasha kubwa mkoani Mbeya siku ya J/pili.Tamasha hilo liliwakusanya waimbaji kadha
kutoka dar es salaamu na waimbaji wengine kutoka Mbeya.Waimbaji kutoka dar alikuwepo John Shabani,Joshua Makondeko,Masanja Mkandamizaji,Emmanuel Mabisa,Mess Jacob na Stella Joel....Tamasha hilo lilifanyika viwanja vya Luanda Nzovywe Ilomba.
Masanja Mkandamizaji akiwa jukwaani.
Hapa sijui Joshua Makondeko alikua akimuambia nini Emmanuel Mabisa
Watu nyomiiiiiiiiii!!
Kushoto ni Stella Joel,Mess Jacob na kulia ni John Shabani
0 comments: