Mahali hekalu la Suleimani lilikuwa ambapo kwa sasa pana msikiti mkubwa.Mchungaji Sebastian Kimario akiwa kwenye pozi la picha
Eneo hili inasemekana ndipo mahali walimshambulia mtu akaokotwa na msamaria mwema
Hapa ni nyumbani kwa Petro,mahali ambapo Yesu alipatumia kwa huduma yake
Bahari ya Galilaya
Mto Jordan.
Jengo la kumbukumbu ya Israel watu milioni sita waliouwawa na Adlof Hitler
Ukijani unao onekana ni mlima wa mabadiliko mahali ambapo Yesu alikwenda kuomba akiwa na Petro Yohana na Yakobo.
Hili ni kaburi la Yesu.
Huu ndio mtende ukiwa umezaa sana
Hapa ndipo mke wa Lutu alipogeuka mnara wa chumvi.Picha zote na Mchungaji Sebastian Kimario wa Mlima wa Moto Mikocheni B











0 comments: