Tuesday, June 24, 2014

NIMEZIPATA PICHA ZA THE VOICE KWENYE EVENT YA ANNIVERSARY YA BANG MAGAZINE.

By Jimmy  |  11:08 AM No comments



 Angel Magoti wa kundi la the Voice akifanya kweli,unaambiwa aliimba sana na kutunzwa sanaa na mashabiki kwa uwezo alionao....
 The Voice wakifanya kweli mdau wangu...hapa wakiimba wimbo maalumu kwa ajili ya miaka 10 ya Bang Magazine.
Keki ya miaka 10 ya bang Magazine

Jimmy Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

Related Posts

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By Bloggertheme9