Hili ni shamba la Boaz mahali ambapo Ruthu alikwenda kuokota mazao shambani
Hili ndilo kanisa Petro alikuwa ana sali
Sehemu hii ni Yeriko mahali Joshua aliangusha ukuta kwakuuzunguka mara saba
Mkuyu wa Zakayo
Mji wa Nazareti mahali Yesu alipolelewa.
Hapo ni mahali Yesu alipopaa mbele ya wanafunzi wake
Mchungaji Sebastian akiwa ameshika vinara saba ,nimfano wa vile ambavyo Yohana aliona,(akaona vinara saba) vya taa kwenye kisiwa cha Patmo
Sanamu hii unayoiona ni mahali Petro alipomkana Yesu alipoambiwa na wewe ni mmoja wao.
Ni bustani iliyopo karibu na kaburi la Yesu
Neno mlango wa sindano unalosoma kwenye biblia ni hayo matunda mawili unayoyaona kwenye ukuta wa jiji la Jerusalem
Picha zote na Mchungaji Sebastian Kimario
0 comments: