Hugo na Erick ni waimbaji wa wili walioungana pamoja mwaka
2013 mwezi December na kuamua kutengeneza wimbo mmoja wenye jina (Unpredictable)
wenye
mahadhi ya Nigeria.Wimbo huu utapatikana kwenye album yao mpya yenye nyimbo nane wanayotarajia kuitoa mwezi August mwaka huu.
mahadhi ya Nigeria.Wimbo huu utapatikana kwenye album yao mpya yenye nyimbo nane wanayotarajia kuitoa mwezi August mwaka huu.
Kazi hii wamefanya kwenye studio za Tuners Record chini ya
Produz Eddy jijini Dar es salaam.Enjoy kwa hisani kubwa ya Chomoza ya Clouds TV.
0 comments: