MAHAKAMA KUU KANDA YA MBEYA LEO JUNE 03
IMEBATILISHA HUKUMU YA KIFUNGO CHA MIAKA 30 JELA ILIYOTOLEWA NA MAHAKAMA
YA WILAYA MBEYA DISEMBA MWAKA 2013 DHIDI YA MCHUNGAJI DK.DANIEL
MWASUMBI ALIESHTAKIWA KWA MADAI YA KOSA LA UBAKAJI...MAHAKAMA KUU
YA TANZANIA KANDA YA MBEYA IMEMSAFISHA MCHUNGAJI MWASUMBI KWA KUIBUA
HOJA ZA KISHERIA ZAIDI YA NNE ZILIZOBAINISHA KUWA HUKUMU ILIYOTOLEWA
DHIDI YA MCHUNGAJI HAIKUWA SAHIHI.MARA BAADA YA HUKUMU HIYO
KUTOLEWA MWANAE MCHUNGAJI DK.DANIEL MWASUMBI GAMALIEL MWASUMBI
AMEMSHUKURU MUNGU KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK…HIKI NDICHO
ALICHOANDIKA…
Sentensi kadha za wanawe Mwasumbi.
Maoni ya watu maarufu pamoja na comment kutoka kwenye ukurasa wa facebook wa mtoto wa Mwasumbi (GAMA DANIEL MWASUMBI)
0 comments: