Ubunifu ni jambo la muhimu kwenye maisha ya mtu anayehusika na jamii hususani muziki.Pitson ni muimbaji kutoka Kenya aliyejipatia umaarufu kupitia wimbo wake wa LINGALA YA YESU.Yamkini wimbo huu unaweza kuwa mgeni machoni pako au masikioni mwako,ninacho weza kukuambia 'ubunifu' umehusika katika wimbo huu kwa asilimia 80.
Pitson ameimba nyimbo nyingi kwenye maisha yake lakini wimbo huu mmoja umemfanya kumtangaza vizuri kwenye muziki wa Gospel nchini Kenya na kufanya kupata airtime nzuri kwenye vituo vya radio vya christian nchini Kenya pia video ya wimbo huu kuchezwa kwenye vituo vya runinga vya Kenya mara kwa mara.Ukiacha hilo wimbo huu toka ulipo ingia youtube umetazamwa na watu 184,660.Kupitia tuzo za Groove Awards Pistson ndiye muimbaji aliyefanya kweli na kuonyesha huwezo wa kutawala stage pamoja na mashabiki wake japo
viuno vilizidi.Tazama video yake hapo chini kwenye tuzo kubwa zinazo fanyika Kenya kwa mwaka mara moja (Groove Awards)
viuno vilizidi.Tazama video yake hapo chini kwenye tuzo kubwa zinazo fanyika Kenya kwa mwaka mara moja (Groove Awards)
0 comments: