Baada ya kufanya huduma kwa muda nchini Marekani Masanja Mkandamizaji,kupita kwenye account yake Instagram amepost picha akiwa anarudi nyumbani Tanzania....Yapo maneno aliyoandika kwenye ukurasa wake wa Intagram yenye utani lakini yana ukweli ndani yake.

0 comments: