Mbunge Joshua Nassari na Anande Nnko
wakiwa mbele ya zawadi yao ya
Ng'ombe ilitolewa na waumini wa Kanisa la Kilinga ambako ibada ya ndoa
ilifanyika,kanisa linaloongozwa na Mchungaji Babu.
Ng'ombe ilitolewa na waumini wa Kanisa la Kilinga ambako ibada ya ndoa
ilifanyika,kanisa linaloongozwa na Mchungaji Babu.
Mamsapu
akianza majukumu ya kuhakikisha Mzee anakuwa nadhifu kila wakati
Bi Harusi
Anande Nnko akiwa katika gari tayari kuelekea katika viwanja vya Usa-River
Academy.
Baba Mzazi
wa Joshua Nassari,Mzee Samwel Nassari akimpongeza mwanae kwa hata hiyo.
Msafara
ukaanza safari ya kuelekea barabara kuu ya Moshi/Arusha ukitokea kanisani
Kilinga
Maharusi
wakiwa katika gari la wazi huku wakipunga mikono kwa watu waliokuwa barabarani.
Kama
kawaida Jasiri
haachi asili na muacha asili ni hasidi na hana akili.
Masanja Mkandamizaji alikuwepo




















0 comments: